У нас вы можете посмотреть бесплатно MKATABA WA UJENZI WA BARABARA MLANDIZI- KITUO CHA SGR RUVU UMESAINIWA, UTAGHARIMU BILIONI 60.25 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Meneja wa Tanroads Mkoa wa Pwani Baraka Mwambage, amewatoa hofu Wananchi wa Mlandizi kwani tayari mkataba wa ujenzi wa barabara ya Mlandizi kuelekea kituo cha reli ya Mwendokasi ( SGR) Ruvu Station wenye thamani ya Tsh. Bilioni 60.25 umesainiwa. Hayo ameyasema leo wakati wa utiaji saini wa mkataba huo ambapo amesisitiza kuwa mkataba huo utahusisha ujenzi wa barabara hiyo kwa urefu wa Kilomita 23 kwa kiwango cha lami na maeneo ya njia ya magari haitapungua mitaa 6.5 ambapo mitaa 3.25 kila upande wa magari huku maeneo ya miji na yenye kona upana wa barabara huwa unaongezeka ambao hufikia mita 11. Aidha pia Meneja amesema Mradi huo pia utahusisha uwekezaji wa taa kadri ya uhitaji katika eneo la Mlandizi Mjini unapoelekea kituo cha reli Ruvu Station na uwekaji wa taa hizo lakini pia ujenzi huo utahusisha madaraja ambayo kwa mtindo wa barabara hiyo na usanifu wake hayatapungua madaraja manne. Naye Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Golamudivet Prudhuit Raj, amesema kuwa ataanza kazi maramoja na anaimani atakamilisha kazi kwa muda uliopangwa.