У нас вы можете посмотреть бесплатно Nchi za Misri, Ethiopia na Sudan zimerudi mezani kutafuta suluhu ya mto Nile. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mataifa ya Misri, Ethiopia na Sudan zimerejea tena kwenye meza ya mazungumzo kwa lengo la kutafuta suluhu ya mzozo baina yao juu ya matumizi ya maji ya mto Nile. Mawaziri wa Umwagiliaji wa nchi hizo tatu, pamoja na maofisa wa Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Ulaya (EU) na Marekani wameshuhudiwa wakifanya mkutano wao kwa njia ya teknolojia ya habari na mawasiliano TEHAMA kufuatia tahadhari za kujikinga na COVID-19. #Egypt #Ethiopia #Sudan #Nile #AfricanUnion #EupeanUnion #COVID19 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz