У нас вы можете посмотреть бесплатно BARAZA LA MADIWANI HANANG' LATOA 'HEKO' KWA MKURUGENZI KUSIMAMIA VIZURI MIRADI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BARAZA LA MADIWANI HANANG' LATOA 'HEKO' KWA MKURUGENZI KUSIMAMIA VIZURI MIRADI Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Hanang' jana Februari 13, 2026 lilifanya mkutano katika ukumbi wa Halmashauri kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwa kipindi cha robo ya pili (Oktoba- Desemba) 2025/2026. Katika kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. George Bajuta, ziliwasilishwa taarifa za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ambapo Baraza la Madiwani limepongeza juhudi zinazofanywa na Halmashauri kwa kusimamia na kutekeleza miradi kwa ufanisi katika kata mbalimbali. Madiwani wameeleza kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi pamoja na maboresho yanayoonekana katika utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi.