У нас вы можете посмотреть бесплатно 001| Busati la Taqwa - Ramadhani Series или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika episode hii ya kwanza ya kipindi Busati la Taqwa, Sheikh Abuubakary Bakary amezungumzia kwa kina maana ya uchamungu (Taqwa) na nafasi yake katika maisha ya Muislamu, hususan ndani ya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani. Pia, Sheikh amefafanua kwa ushahidi wa Qur-aan na Sunnah kuhusu: 🌙 Lengo la kufunga Ramadhani 📖 Nani hasa kaamrishwa kufunga Mwezi wa Ramadhani 🤍 Uhusiano kati ya saumu na kuongeza Taqwa 🕌 Umuhimu wa kutekeleza ibada kwa ikhlasi na utii kwa Allaah Kipindi hiki ni sehemu ya mfululizo wa Busati la Taqwa, kipindi maalumu cha Ramadhani kinachowaleta Masheikh mbalimbali wakijadili mada tofauti zenye kuijenga Imani na kuongeza uelewa wa dini. 📺 Endelea kufuatilia na kushiriki ili tupate kheri kwa pamoja katika Mwezi huu wa rehema, maghfira na kuokolewa na Moto wa Jahannam.