• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1 скачать в хорошем качестве

Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1 5 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Mi na rafiki yangu huyu tumepishana zaidi ya miaka kumi na nne, wakati anazaliwa mimi nilikua nagombana na makondakta kupata nafasi kwenye chai maharagwe ya kutoka Buguruni kuelekea Posta. Ila kupishana kwetu kwa umri naamini ndo kunaufanya ushoga wetu uwe special zaidi, maana yeye akiwa ananikhadithia kinachokiki kwenye umri wake, nami nakua namuelezea challenges za unapozidi kukua na naamini hii inatufanya tuwe bora zaidi. Na ki ukweli mara nyingi yeye amekua shujaa wangu, maana kuna mengine mazito kwake yanakua mepesi tu na hunisaidia kuona mambo kwa picha tofauti. Kwa hilo namshukuru sana. Wakati mwengine wanasema umri sio kipimo cha busara, rafiki yangu huyu kupitia mengi, kwahiyo moyo wake wa ‘chuma’ unatusaidia wengi kwenye kuweza kupambana na dhurba mbali mbali. Hapa sina haja hata ya kukuambia alipitia mitihani kiasi gani maana dunia nzima inajua, ila naweza tu kukuambia kwamba hakuna binti mwenye moyo wa utayari na ambae hana uwoga pale anapokua anasimamia lake kama Elizabeth Michael Kimemeta. Kwanza akiweka nia kwenye jambo lake lazima liwe... Atafunga, atakesha asali, ataweka akili na mawazo yake yote humo mpaka Mwenyezi Mungu amtimizie, nishashuhudia hilo sio mara moja wala mbili na naweza nikasema binafsi ameni inspire sana kwenye suala zima la funga na sala. Nani kamfundisha hayo? Kwa umri wake aliokua nao wakati matatizo mazito yalipomfika pengine usingedhani angekua binti wa dizaini hiyo. Miaka minne au mitano ambayo Alikutwa na yale matatizo ya kesi na mpaka akatumikia kifungo ni miaka ambayo ilimfaya akue sana. Ki imani na kiakili. Kwenye kipindi hiki hakua bado tayari kuzungumzia usiku ule ulobadilisha maisha yake ila kaniahidi akiwa tayari basi atafiria kutushirikisha kwenye hayo maongezi ila inawezekana pia hiyo siku isifike, nna hisia hiyo ni kurasa ya kwenye kitabu ambayo amechagua kuiruka kwa sasa au pengine milele, na maamuzi hayo mimi na wenzangu tuliyaheshimu. Sote tunakumbuka wakati anakua, kila kukicha yuko kwenye gazeti ila kwa sasa huyo si yule, amekua ki mwili, ki akili na hata ki sanaa pia. Mambo yake si ‘hadharani’ tena kama ilivyokua miaka ya nyuma. Sasa amekua influencer ambaye kampuni kubwa kadhaa zinamuamini yeye kuwatangazia biashara yao. Amekua Mama kwa mdogo wake Eric ambaye naye tumemuona akikua kwenye macho yetu. Mama kwa watoto wawili ambao amewakuta wakiwa wanaishi na mchumba wake nyumba moja. Kwenye haya maongezi yetu tuligusia hilo la hao watoto, na watoto wengine, kazi, yeye kama binti ambae amekua akikutana na mawe mengi. Muonekano wake. Familia kwa upande wa Mama na Baba na mambo mengine kadhaa. Niko hapa kukutakia uangaliaji mwema wa kipindi hiki na yangu matumaini utavutiwa na jambo ambalo litakufanya ubadili maisha yako kwa uzuri zaidi. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown  

Comments
  • Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 2 5 лет назад
    Salama Na Shikana Ep 17 | DYNAMITE Part 2
    Опубликовано: 5 лет назад
  • All song of Nigina Amonqulova | مجموعه از بهترین و ناب ترین آهنگ های نگینه آمانقلوا از 1 год назад
    All song of Nigina Amonqulova | مجموعه از بهترین و ناب ترین آهنگ های نگینه آمانقلوا از
    Опубликовано: 1 год назад
  • Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1 4 года назад
    Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • Валерий Ширяев о скором (?!) конце войны 16 часов назад
    Валерий Ширяев о скором (?!) конце войны
    Опубликовано: 16 часов назад
  • Patrick Kubuya : Moyo Wangu (Live Video Music) 5 лет назад
    Patrick Kubuya : Moyo Wangu (Live Video Music)
    Опубликовано: 5 лет назад
  • CHAPATI LAINI; jinsi ya kupika chapati za kusukuma / how to make soft Parathas 7 лет назад
    CHAPATI LAINI; jinsi ya kupika chapati za kusukuma / how to make soft Parathas
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Заговор против Путина. Конец Симоньян. Раздел Украины и Трамп. Дудь и Птаха. Тернополь. БЫКОВ 20 часов назад
    Заговор против Путина. Конец Симоньян. Раздел Украины и Трамп. Дудь и Птаха. Тернополь. БЫКОВ
    Опубликовано: 20 часов назад
  • Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1 5 лет назад
    Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • PART 2: KILA NIKIKUMBUKA/ NALIA SANA/ WALINIKATISHA TAMAA/MAMA YANGU/KIMBILIO LANGU - LULU 1 год назад
    PART 2: KILA NIKIKUMBUKA/ NALIA SANA/ WALINIKATISHA TAMAA/MAMA YANGU/KIMBILIO LANGU - LULU
    Опубликовано: 1 год назад
  • ELIZABETH MICHAEL: MAISHA YA JELA / KIFO CHA KANUMBA / NDOA NA MAJEY / NDOTO ZA UTAJIRI - EXCLUSIVE 2 месяца назад
    ELIZABETH MICHAEL: MAISHA YA JELA / KIFO CHA KANUMBA / NDOA NA MAJEY / NDOTO ZA UTAJIRI - EXCLUSIVE
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • NI NOMA - Elizabeth Michael (Movie) 5 лет назад
    NI NOMA - Elizabeth Michael (Movie)
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Карантин в Москве. Пожар у РЖД: задержки поездов. Путин ночевал в клинике. Налоги повышены | ВОЗДУХ 13 часов назад
    Карантин в Москве. Пожар у РЖД: задержки поездов. Путин ночевал в клинике. Налоги повышены | ВОЗДУХ
    Опубликовано: 13 часов назад
  • SIAVASH GHOMAYSHI Classic Mix 🔝 | بهترین های سیاوش قمیشی 2 года назад
    SIAVASH GHOMAYSHI Classic Mix 🔝 | بهترین های سیاوش قمیشی
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1 4 года назад
    Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • Mohsen Chavoshi - Best Songs  ( بهترین آهنگ های محسن چاوشی) 5 месяцев назад
    Mohsen Chavoshi - Best Songs ( بهترین آهنگ های محسن چاوشی)
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • MKONO WA BWANA by Zabron Singers (SMS SKIZA 8561961 TO 811) 9 лет назад
    MKONO WA BWANA by Zabron Singers (SMS SKIZA 8561961 TO 811)
    Опубликовано: 9 лет назад
  • MAJIZZO AVUNJA UKIMYA | Bifu na Diamond? Ukaribu na Hamisa | Ndoa na Lulu | Spika za Jizo Sound 5 месяцев назад
    MAJIZZO AVUNJA UKIMYA | Bifu na Diamond? Ukaribu na Hamisa | Ndoa na Lulu | Spika za Jizo Sound
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • Дмитрий Потапенко: Магазины с одеждой закрываются, НДС повышен 12 часов назад
    Дмитрий Потапенко: Магазины с одеждой закрываются, НДС повышен
    Опубликовано: 12 часов назад
  • Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2 4 года назад
    Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2
    Опубликовано: 4 года назад
  • GREATEST HITS OF JAHAN | بهترین آهنگهای جهان 2 года назад
    GREATEST HITS OF JAHAN | بهترین آهنگهای جهان
    Опубликовано: 2 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5