У нас вы можете посмотреть бесплатно JIMBO KUU LA DSM LAIPONGEZA DEKANIA YA SEGEREA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JIMBO KUU LA DSM LAIPONGEZA DEKANIA YA SEGEREA. Parokia ya Roho Mtakatifu, SEGEREA DSM Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam Padre Vitalis Kasembo ameipongeza Dekania ya Mt Yohane Paulo wa II, Segerea kwa kufanikisha kufanya sherehe ya kufunga Mwaka wa Jubilei Kuu ya Ukristo wetu ngazi ya Dekania na pia kumkumbuka somo na Msimamizi wa Dekania hiyo Mt Yohane Paulo wa II, na kuwataka waendelee kuishuhudia Imani yao kwa matendo. Padre Kasembo ameyasema hayo leo October 18, 2025 wakati akiadhimisha Sadaka ya Misa Takatifu katika Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea, ambapo alimwakilisha Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu sana Judah Thaddeus Ruwa'ichi-OFMCap ambae ndie alipaswa kuwa Mgeni Rasmi lakini akatingwa na ratiba nyingine. "Nawapongeza sana waamini na viongozi wote wa Dekania ya Segerea kwa kufanikisha vyema jambo hili kubwa la kiimani. Endeleeni kuishuhudia Imani yenu kwa matendo huku mkizingatia mambo makubwa matatu, Uvumilivu, Msamaha na Upendo" Nae Baba Dekano wa Dekano hiyo Padre Cornelius Mashare amemshukuru Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo, Padre Vitalis Kasembo kwa jinsi anavyo kuwa na utayari wa kupokea kila jambo analomsihii kulifanya kwa niaba ya Dekania hii na kumwombea baraka zaidi toka kwa Mungu ili aendelee kumtumikia vyema zaidi na zaidi. Dekania ya Segerea inazo jumla ya parokia kamili 11 na parokia teule 3 hivyo kufanya idadi ya parokia zote katika Dekania hiyo kuwa 14.