У нас вы можете посмотреть бесплатно Meli yawasili na watalii 400 huko Mombasa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zaidi watalii 800 wamewasili kisiwani Mombasa kwa kutumia meli katika bandari ya Mombasa. Wadau katika sekta ya utalii akiwemo kaimu afisa mkuu mtendaji wa bodi ya utalii nchini John Chirchir wamesema kuwa serikali inalenga kupiga jeki safari za watalii wanaosafiri kwa meli ili kukuza sekta hiyo. Watalii hao kutoka mataifa mbalimbali wanatazamiwa kuzuru vivutuo tofauti vya utalii kama eneo la Fort Jesus, eneo la mji wa kale, kabla ya kuzuru mbuga tofauti za wanyama. Waziri wa utalii kaunti ya Mombasa Mohammed Osman amekariri kuwa usalama umedumishwa na kuwa msimu huu wa sherehe za krisamasi na mwaka mpya, idadi ya watalii kutoka mataifa ya nje na humu nchini itasaidia kukuza pato la kaunti na wafanyabiashara katika sekta ya utalii.