У нас вы можете посмотреть бесплатно UHIFADHI WA MIKOKO KWALE: Asilimia 25 ya miti ya mikoko imeharibiwa Kwale или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Imebainika kuwa asilimia 25 ya miti ya mikoko imeharibiwa katika Kaunti ya Kwale kufuatia ukataji wa mikoko na uchafuzi wa mazingira ya bahari. Kutokana na hali hiyo, kikundi cha vijana kikiongozwa na shirika la Pro Green Sharpers kimeanzisha harakati za urejesho wa mikoko iliyokauka na kukatwa kutokana na shughuli za kibinadamu. Vijana hao walishiriki upanzi wa miche ya mikoko katika kijiji cha Makongeni Eneobunge la Msambweni huku wakitaka jamii zinazoendeleza uhifadhi wa mikoko kuelimishwa kuhusu mpango wa hewa kaa. Kulingana nao, kuna haja ya serikali kutoa hamasisho kwa jamii kuhusu jinsi watafaidika na mpango huo mbali na kujihusisha na masuala ya kilimo na ufugaji wa nyuki.