У нас вы можете посмотреть бесплатно USHIRIKISHWAJI WA VIJANA KATIKA MAENDELEO NA USALAMA KWALE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vijana wa Kwale walioko chini ya mradi wa Kujenga Amani wamewasilisha mapendekezo yao kwa Bunge la Kaunti ya Kwale kupitia madiwani wao. Mapendekezo hayo yanatilia mkazo umuhimu wa kuhusishwa kwa vijana katika masuala ya maendeleo na kuziba mianya inayochangia kudorora kwa usalama pamoja na kukiuka haki za kijinsia. Wakiongozwa na Hemed Rashid, vijana hao wametaka sauti zao kusikizwa na kuhusishwa kikamilifu katika mchakato mzima wa uundaji sera, masuala ya maendeleo ya vijana, na ustawi wa jamii kwa ujumla.