У нас вы можете посмотреть бесплатно Dizasta Vina - Hatia IV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Category: Music Song: Hatia IV Artist: Dizasta Vina Music: Ringle Beatz Youtube: / jwa21m5eyl Mdundo: https://mdundo.com/song/1670618 Audiomack: https://audiomack.com/dizastavina/son... Soundcloud: / hatiaiv Lyrics: https://genius.com/Dizasta-vina-hatia... Other Musical contents Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina YouTube - / dizastavina Deezer - https://www.deezer.com/artist/67967532 Apple music - https://artists.apple.com/a/profile Mdundo - https://mdundo.com/a/2263 Genius - https://genius.com/DizastaVina Boom play - https://www.boomplay.com/artists/3288... - https://artists.spotify.com/c/artist/... Connect with Dizasta Vina on social medias Instagram - / dizastavina Twitter - / dizastavina Facebook - / dizastavina07 https://sw.wikipedia.org/wiki/Dizasta... Business: [email protected] Website - https://bio.link/dizastavina Lyrics “JASIRI JOHN….. ALIYAANGALIA MAISHA YAKE HAKUONA JINSI ANGEWEZA KUISHI BILA JANE MSICHANA ANAYEMPENDA LICHA YA KUZONGWA NA UMASIKINI ALIJITAHIDI KUMPA JANE MAHITAJI MADOGOMADOGO KADRI ALIVYOWEZA LAKINI ALIFAHAMU SHUBIRI YA KUSUBIRI KUPENDWA HUKU ANAFAHAMU KUSUBIRI KUPENDWA NI MATUMAINI YANAYOUMIZA. KAMA WANAVYOSEMA, MTAFUTAJI HACHOKI AKICHOKA KASHAPATA… .ALIENDELEA KUNGOJA” Ah! Sikuwa na zali sikuziamini ndumba Sikuwa na mali za kufuja Nilijitahidi kuuza mitumba kufuga mipunga Ili siku nimpe gari nimpe nyumba. Nilishindwa… Niliishia kumpa chai, ‘chipsi’ mayai na ‘vocha’ Nywele za kimasai na mkoba Pesa za magauni, majuba na viatu vya kuzuga Nilimpa muda ila bado haikutosha, kwani… Nilipomwambia nampenda hakujibu Akaweka moyo wangu maumivu Na mtima wangu akauweka ‘solemba’ Nikaapia kuwa sitakuja kupenda ‘forever’ Ah! Nilimpa upendo nilimpa sifa Niliweka mitego ya faida, haikuwa shwari Nikabadili mwenendo wa maisha Niliweka malengo sikutimiza, hakunikubali Alikuwa na ndoto kubwa kushinda mimi Alikuwa na misimamo kuipita dini Aliniambia ameomba nije kuokota utajiri Amengoja sana na sasa amechoka kusubiri Ah! Sikuwa na hali ya kuikosha roho yake Nilimwacha aende aufate moyo wake Alipata bwana wa kizungu magharibi Alimwahidi kuishi maisha ya ndoto zake Nilipata uchungu niliishia kuhamaki nilitaka nijiue Nilitaka nimzuie abaki nikakumbuka Ukipenda ua haulikati unaliacha likue Duka langu nilifunga biashara niliacha zote Uchumi uliyumba kwa maana nilianza pombe Niliumwa bado kidogo moyo uzime Nilimfanya ndoto kumbe naye ana ndoto nyingine Alisema anakwenda jiji la Miami Hakuna alichowaza zaidi ya kuishi kifahari Kamtumia picha na ‘mchizi’ kazikubali Na yupo tayari kumlipia gharama za safari Aliondoka na kipande kimoja cha mwili Nilikonda nilipata ugonjwa wa akili Haikuwahi kupita hata sekunde nisilie Nilitamani mpaka ardhi ipasuke niingie Ah! Muda ukaenda nitapata ‘Mwanamwali’ Nikamwomba awe mwenza wa maisha akakubali Nikamvisha pete nikalipia mahari Sikumpenda lakini nilijifunza kumjali Aliuliza kama nampenda, nilimjibu Sikutaka kuweka moyo wake maumivu Sikutaka kuuweka Mtima wake solemba Kiasi aseme hatakuja kupenda ‘‘forever’’ Ah alinikumbatia nikamfunga kwa ishara Akanikabidhi tunda nikala Akaniamini tukajuana nikapanga kumwoa Akaidhisha na tukaanza na mipango ya ndoa “Habari naamini u bukheri wa afya Unaendeleaje maisha na huyo mpenzi wa sasa .nashukuru nahema ughaibuni si kwema Nakiona cha mtema mpaka naona ni heri nikafa… Ah! Maisha niliyowaza yote ni uongo Nauzishwa madawa nalazimishwa ngono Nafungiwa ndani kama mtumwa ufungwani Roho yangu rehani kiasi sasa naitamani Bongo Ukubwa umekuja kunisafisha jicho Ndoto imeisha na taswira imenionyesha sivyo, ah Naomba unifate uniondoshe kwenye hichi kifo Na hii namba ya msamaria atakueleza nilipo” Sherehe ilikuwa na mipango madhubuti Kabla mimi kuichukua michango ya Harusi Nikatoroka ughaibuni kufuata hisia zangu Kwenda kumfata njiwa wangu mahususi Nilivuka majangwa na majabali Sehemu ya safari anga sehemu nyingine bahari Niliacha kila kitu nyuma upendo na huruma vilinijaa Penzi likanipeleka mbali Nikakutana na bopa la kizungu Lenye sura ya kuichachisha mboga kwenye chungu Kiko kwenye mdomo,Tatuu kila kona na wapambe Pamoja na vishoka wenye mtutu Sio siri alizungukwa na wasichana wengi Sikujua umri walikuwa wadogo ka’ “madent” Baadhi walikuwa uchi wanahesabia “chenchi” Wengine masaji huku wengine wanamchezea nyeti Hata nilipomuuliza kama ananipenda hakujibu Akaweka moyo wangu maumivu Nilijua hawezi kufa kwa sababu hakunipenda Na ni rasmi nikapoteza shilingi kwenye msitu Nilikiambia kifo kama unakuja njoo Maana sikuwa mtu ilishakufa roho Sikuumia kama alivyoniumiza yeye Kwahiyo sikujali jinsi nilivyoteswa na wale mbwa no Aliambiwa ambusu bosi hakubisha Alipewa bunduki hakusita Aliishika risasi akaiingiza Akaambiwa anipige kwenye kichwa