У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbunge Sanga alia wakulima Mbarali kuhamishwa, vijiji kufutwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa jimbo la Makete, Festo Sanga amehoji hatua ya serikali kupitia kwa mawaziri wanane wa kisekta la kufuta vijiji vitano na vitongoji 41 katika vijiji 14 pamoja na sehemu ndogo ya kitongoji cha Magwalisi ambacho kipo kwenye Mamlaka ya Mji mdogo wa Rujewa wilayani Mbarali ili kupisha hifadhi.Uamuzi wa kuhamishww kwa wanavijiji hao ulitangazwa oktoba 25 mwaka huu na waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk.Angelina Mabula. #AzamTVUpdates #Mbarali #BungeniDodoma #ArdhiMbarali