У нас вы можете посмотреть бесплатно Balozi Nchimbi Agiza Highland Estate Kuwagawia Shamba Wananchi Mbarali или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SAKATA la mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya na hifadhi ya Taifa ya Ruaha maarufu kwa jina la GN 28 limeibuka katika Mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi huku wananchi hao wakitaka mipaka ipitiwe upy ili waweze kupata maeneo kwa ajili shghuli za kilimo na makazi. Wananchi hao wamtoa malalamiko yao katika Mkutano wa Hadahara uliofanyika katika Kituo cha Mbasi cha Ubaruku wamesema mipaka hiyo imewakosesha maeneo ya kuisha na kuendesha shughuli za uchumi hivyo wanamuomba katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bolozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuingilia kata ili kuwanusuru na ugumu wa maisha kwani asilimia kubwa wananchi wanategemea. KWA MATANGAZO, WASILIANA NASI Email: busokelotv@gmail.com Simu: 0762684745 au 0674217445 Karibu sana