У нас вы можете посмотреть бесплатно KIWANDA KICHOINGIZIA SERIKALI MABILIONI MKURUGENZI WAKE 'AJILIPUA' NA MJENGO MPYA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kiwanda cha Mwekezaji wa ndani kinachozalisha pombe kali Mati Super Brands Mkoani Manyara, kimefanikiwa kufanya uzinduzi wa kinywaji kipya aina ya Tanzanite Premium Vodka pamoja na jengo la kisasa la utawala, ikiwa ni sehemu ya kuongeza thamani na ubora wa bidhaa zao ili kuongeza ushindani katika soko la vinywaji Duniani. Kiwanda hicho ambacho kilianzishwa takribani miaka minne iliyopita kimeweza kuchangia Serikali mapato ya mabilioni ya shilingi ambapo kwa mwaka wa 2021 kilichangia kiasi cha shilingi bilioni 3.6 ikiwa ni onezeko la bilioni moja kutoka mwaka wa 2020. Jengo hilo la kisasa la utawala litakalotumiwa na wafanyakazi zaidi ya 300 waliopo katika kampuni hiyo pamoja kinywaji hicho kipya, uzinduzi wake umefanyika Wilayani Babati kulipo na makao makuu ya kampuni hiyo, mgeni ramsi akiwa ni Naibu Waziri wa Viwanda na biashara bwana. Exaud Kigahe. GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV Thanks.