У нас вы можете посмотреть бесплатно Cantiques Spéciaux || Dimanche 13 Août 2023 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Cantiques Spéciaux || Dimanche 13 Août 2023 Yesu Ni Furaha Yangu - Nyimbo za Wokovu 121 1. Yesu ni furaha yangu, Amejaa pendo kweli. [ Anaweza kusimika Kila mwenye udhaifu. ] BIS [ Ananipa ujasiri, Nguvu, raha na faraja. ] BIS [ Hata nikionja kufa, Yesu ni Mchunga wangu. ] BIS 2. Nimefungwa na Mwokozi Kwa kifungu cha upendo, [ Hata kufa hakuwezi Kunitenga naye Yesu. ] BIS [ Mimi wake siku zote, Ninataka kumtii. ] BIS [ Kwa neema nimepona, Nisitumikie dhambi. ] BIS 3. Kwa mikono ya upendo Ninakumbatiwa naye, [ Sitaweza kutafsiri Pendo lake kubwa kwangu. ] BIS [ Napokea nguvu yake, Yanijaza moyo wangu. ] BIS [ Yesu ananiongoza Katika safari yangu. ] BIS Nikupende Zaidi 1. Ee Bwana u mwema kwangu Nami nitakusifu Roho wako anifunze Kukupenda zaidi Chorus Zaidi, zaidi, Nikupende Bwana zaidi, Zaidi, zaidi Nikupende Bwana zaidi. 2. Ee Bwana wanibariki Nami takuabudu Unanitunza kwa pendo Nataka nikupende. 3. Hata upepo uvume Unanipa salama Unaniogoza vema Nataka nikupende 4. Hata nitapomaliza Safari yangu huku Hili ndilo ombi langu Nikupende zaidi. Cantiques Spéciaux || Dimanche 13 Août 2023 Below is the link of the video from which this song was extracted: • Sun, 13.08.2023 | Discernment of The Spiri... #Maranatha