У нас вы можете посмотреть бесплатно Zahab; Dogo aliyesafiri na Simba nchini Misri atoa 'code' ya ushindi dhidi ya Al Masry или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SIMBA MISRI | “Wakifanya utani tunaweza tukafungwa na tukatolewa kama tunavyofanywaga”. Kutana na Zahab Habibu Mchange, shabiki mwenye umri mdogo zaidi kati ya mashabiki wa Simba waliosafiri na timu nchini Misri kutoka Dar es Salaam. Zahab anawashauri wachezaji wa Simba waongeze umakini kwenye mazoezi kuelekea mchezo wao dhidi ya Al Masri ili lisiwakute lileeee ambalo limekuwa likiwakuta kwenye michuano ya CAF, yaani kutolewa hatua ya robo fainali. Anasisitiza “…wawe serious na wakazanie mazoezi” Kuhusu mwenendo wa mazoezi ya timu yake, Dhahab ameyakubali huku akitaja anachokiona ndani ya kikosi…. …..Pia amechambua ubora wa kikosi cha Simba akielezea viwango na sifa za wachezaji anaowakubali zaidi akiwemo Zimbwe, Ngoma na Kibu Denis. Kuhusu mechi yenyewe, Zahab anasema “naiona mechi ngumu, na wachezaji itabidi wafanye kazi kweli ili kupata goli”. Mwisho kabisa anasema “…tunavuka” Huyu hapa Zahab akizungumza na @hassanahmedy kutoka Ismailia, Misri. Simba iko nchini Misri kuwakabili Al Masry katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) Aprili 2, LIVE #AzamSports2HD #CAFConfederationCup #CAFCC #SimbaMisri #SimbaSC #AlMasry