У нас вы можете посмотреть бесплатно Maajabu ya Ziwa Kindai - “Kindai alitumbukia, akapatikana baada ya siku tatu akiwa hai” (MAKALA) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hii ni Makala inayoangazia historia ya Ziwa Kindai linalopatikana mjini Singida ambalo awali ilikuwa ni mbuga ikitumiwa na wafugaji. Mmoja kati ya wafugaji hao alifahamika kwa jina la Kindai. Mfugaji huyo alitumbukia kwenye bwawa hilo wakati wakioga, lakini alipatikana baada ya siku tatu akiwa hai, na hapo ndipo ziwa hilo lilipoanza kuitwa Kindai. Ni bwawa ambalo linategemewa kwa kiasi kikubwa na wakazi wa Singida kwa chumvi, maziwa na samaki lakini limekuwa na maajabu ya hapa na pale, ikiwemo wakazi wa eneo hilo kupoteza mtu kila mwaka. Cha kuvutia zaidi ni historia yake ambayo kwenye Makala hii imeelezwa kwa kina kuanzia chimbuko la ziwa lenyewe na hadi asili ya jina la Kindai. Salim Mhando amezungumza na wenyeji ambao ndiyo watuamiaji na wanaijua vizuri historia ya ziwa hilo ambao wamesimulia maajabu mengi wanayoyashudia kwenye ziwa hilo.