У нас вы можете посмотреть бесплатно SHAJARA | Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mjumbe wa Baraza la Mashekh Mkoa katika BAKWATA, Maalim Hussein amewasisitiza Waislam nchini kuzingatia mafundisho sahihi ya dini wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kuhakikisha funga zao zinakuwa zenye kukubalika mbele za Mwenyezi Mungu. Akizungumza kuhusu maandalizi na mwenendo wa ibada hiyo, amesema Ramadhani si kujizuia kula na kunywa pekee, bali ni kipindi cha kuimarisha ibada na maadili. Ametaja mambo muhimu ya kuzingatia kuwa ni kuswali kwa wakati, kufunga kwa nia ya kumtii