У нас вы можете посмотреть бесплатно WALIOSOMA MILAMBO SEC. MIAKA 50 ILIYOPITA (AMSHA) WARUDI KUPANDA MBEGU KWA WANAFUNZI WENZAO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miongoni mwa viongozi waliosoma Milambo Sekondari ni pamoja na Ndugu Nehemia Mchechu - Mrajisi wa Hazina Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba – Gavana wa Benki Kuu ya Tanazania, Wakili Camilius Wambura – Inspekta Generali wa Polisi (IGP), Mhe. Balozi Said Mshana – Balozi wa Tanzania Nchini DRC, Balozi James Gallawa Bwana – Balzoi wa Tanzania Nchini Afrika ya Kusini, Bwa abdulrazak Badru – Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Serikali (PSSSF), Bwana Godfrey Mbanyi – Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugazi (PSPTB) Kwa habari na Matukio yote Muhimu yenye Maslahi mapana kwa UMMA, wasiliana nasi kwa +255 764 736 372, +255 787 721 965 Barua pepe, [email protected], Tufuatilie katika Mitandao yetu ya Kijamii, Youtube, Twitter, Facebook na Instagram kwa jina la Torontotv Tabora. "Toronto Online Tv - habari na matukio tumekufikia"