У нас вы можете посмотреть бесплатно CHEKECHE | Kukwama kwa mkataba wa Marekani na Ukraine inaamanisha nini? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni kama kufumba na kufumbua, sasa ni miaka mitatu ya vita tangu majeshi ya Urusi yaivamie Ukraine Februari 24 mwaka 2022, ambapo mpaka sasa muafaka haujapatikana licha ya jitihada mbalimbali. Katikati ya mkwamo huo, makubaliano ya Marekani kuwepo Ukraine na kuvuna sehemu ya madini ya nchi hiyo nayo yamekwama na kuibua mjadala zaidi juu ya mustakabali wa vita vinavyoendeshwa na Urusi, kulikoni? Karibu sana katika #Chekeche #azamtvupdates #azamtvupdates Imeandaliwa na Warda John Mhariri | John Mbalamwezi