• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Kamati ya Uvuvi Ghuba ya Chwaka yakabidhiwa Boti na Mashine mpya ya Doria скачать в хорошем качестве

Kamati ya Uvuvi Ghuba ya Chwaka yakabidhiwa Boti na Mashine mpya ya Doria 1 месяц назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kamati ya Uvuvi Ghuba ya Chwaka yakabidhiwa Boti na Mashine mpya ya Doria
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Kamati ya Uvuvi Ghuba ya Chwaka yakabidhiwa Boti na Mashine mpya ya Doria в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Kamati ya Uvuvi Ghuba ya Chwaka yakabidhiwa Boti na Mashine mpya ya Doria или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Kamati ya Uvuvi Ghuba ya Chwaka yakabidhiwa Boti na Mashine mpya ya Doria в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Kamati ya Uvuvi Ghuba ya Chwaka yakabidhiwa Boti na Mashine mpya ya Doria

Mafanikio makubwa yamepatikana kupitia sekta za uchumi wa buluu na uvuvi kutokana na usimamizi mzuri wa hifadhi za bahari na rasilimali zake baharini. Mkurugenzi wa Idara ya Uhifadhi wa bahari Dkt. Makame Omar Makame kutoka Wazara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar amesema hayo huko Marumbi wakati wa uzinduzi wa Boti ya doria pamoja na makabidhiano ya Mashine ya boti hiyo. Dkt. Makame amesema Sekta ya Mwani ,Uvuvi na Utalii zinachangia kwa kiasi kikubwa kuinua uchumi wa nchi unaotokana na uhifadhi wa bahari hapa nchini. Sambamba na hayo amesema kuwepo kwa boti ya doria kutaongeza jitihada za kusimamia matumizi bora ya bahari ili kuifanya Ghuba ya Chwaka kuimarika zaidi baharini. Nae Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mwambao MCCC Dkt. Said Halid Said amesema Taasisi ya Mwambao ipo tayari kuisaidia Serikali kwa ajili ya kuendesha shughuli mbalimbali za uhifadhi wa bahari kwa maslahi ya jamii na Taifa kwa ujumla . “Baada ya Wanamarumbi kutumia fedha zao za uhifadhi kuweza kununua boti ya doria hili jambo kubwa na kutufanya Wanamwambao kusaidia mashine ili boti hii iweze kufanya kazi iliyokusudiwa”. Kwa upande wao Wavuvi wa Shehia ya Marumbi wamesema wastani wa asilimia 65% za wakaazi wa Marumbi wanafaidika na mazao ya baharini hivyo hakuna budi ya kuzisimamia na kuzilinda rasilimali za bahari. Sambamba na hilo wametoa wito kwa Kamati jirani kuwa na mashirikiano ya pamoja juu ya suala zima la usimamizi wa eneo la Ghuba ya Chakwa MIMCA ili kudhibiti uvuvi haramu usiendelee kuathiri baharini. “Kamati ya uvuvi ya marumbi inajishughulisha na ulinzi wa pamoja na utoaji wa elimu juu ya matumizi sahihi ya rasilimali za bahari” Jumla ya Shilingi milioni tisa (9) zimetumika kwa ajili ya ununzi wa Boti ya Doria fedha ambazo zimetoka Serikalini kupitia Kamati ya Usimamizi wa Hifdhi za bahari ya Marumbi pomoja na Shilingi Miloni nane (8) zimetumika kwa ajili ya ununuzi wa Mashine ya Boti chini ya ufadhili wa Shirika la Mwambao MCCC ikiwa juhudi za kuungwa mkono Serikali ya awamu ya nane kupitia Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar.

Comments
  • Mzee aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar (1964) asimulia mambo yalivyokuwa 3 года назад
    Mzee aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar (1964) asimulia mambo yalivyokuwa
    Опубликовано: 3 года назад
  • ISHU YA ZBC TV NA ACT WAZALENDO YAIBUKIA BARAZA LA WAWAKILISHI 3 недели назад
    ISHU YA ZBC TV NA ACT WAZALENDO YAIBUKIA BARAZA LA WAWAKILISHI
    Опубликовано: 3 недели назад
  • #KERO YA KUVUKA KISIWA CHA UZI KUBAKI HISTORIA 2 месяца назад
    #KERO YA KUVUKA KISIWA CHA UZI KUBAKI HISTORIA
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • HOJA MEZANI | Ujenzi wa bandari Zanzibar utakavyoleta mapinduzi ya ajira kwa wazawa 5 месяцев назад
    HOJA MEZANI | Ujenzi wa bandari Zanzibar utakavyoleta mapinduzi ya ajira kwa wazawa
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • FOLENI SASA BASI BUBUBU BARAZA LA WAWAKILISHI LAJADILI UJENZI WA MADARAJA  ZANZIBAR 1 год назад
    FOLENI SASA BASI BUBUBU BARAZA LA WAWAKILISHI LAJADILI UJENZI WA MADARAJA ZANZIBAR
    Опубликовано: 1 год назад
  • ''ZANZIBAR IPEWE NAFASI'' MBUNGE KING ashusha PONTI kuhusu MUUNGANO 10 месяцев назад
    ''ZANZIBAR IPEWE NAFASI'' MBUNGE KING ashusha PONTI kuhusu MUUNGANO
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • #ZANZIBAR KUWA NCHI YA KWANZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI 1 год назад
    #ZANZIBAR KUWA NCHI YA KWANZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI
    Опубликовано: 1 год назад
  • LAZIMA TUSHIRIKIANE NA WENZETU......MHE HEMED 6 месяцев назад
    LAZIMA TUSHIRIKIANE NA WENZETU......MHE HEMED
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • MCHUNGAJI CHINI YA SHINIKIZO[ SWAHILI SKIT 1-4]🤣🤣 12 часов назад
    MCHUNGAJI CHINI YA SHINIKIZO[ SWAHILI SKIT 1-4]🤣🤣
    Опубликовано: 12 часов назад
  • БОМБОНУЛИ ПЕРВЫЕ ЯДЕРНЫЕ РАКЕТЫ Ирана! РАЗНОС Орешника в Тегеране: всплыла ПРАВДА о Kheibar 18 часов назад
    БОМБОНУЛИ ПЕРВЫЕ ЯДЕРНЫЕ РАКЕТЫ Ирана! РАЗНОС Орешника в Тегеране: всплыла ПРАВДА о Kheibar
    Опубликовано: 18 часов назад
  • MANISPAA YA MJINI ZANZIBAR YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA WASIORASMI 2 месяца назад
    MANISPAA YA MJINI ZANZIBAR YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA WASIORASMI
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS 2 года назад
    SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS
    Опубликовано: 2 года назад
  • RIPOTI ZA SEMA AFRICA MEDIA ‐ TUTAWAFIKIA WOTE WENYE MAHITAJI MAALUM JIMBO LA CHUMBUNI 13 дней назад
    RIPOTI ZA SEMA AFRICA MEDIA ‐ TUTAWAFIKIA WOTE WENYE MAHITAJI MAALUM JIMBO LA CHUMBUNI
    Опубликовано: 13 дней назад
  • MGOGORO MKUBWA: ACT WAZALENDO WAMLIPUKIA ZEC 1 месяц назад
    MGOGORO MKUBWA: ACT WAZALENDO WAMLIPUKIA ZEC "MNAHARIBU USHAHIDI WA UCHAGUZI"
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • HAWA HAPA MADAKTARI WALIYO STAAFU NDANI YA IDARA YA CHUO CHA MAFUNZO ZANZIBAR. 3 недели назад
    HAWA HAPA MADAKTARI WALIYO STAAFU NDANI YA IDARA YA CHUO CHA MAFUNZO ZANZIBAR.
    Опубликовано: 3 недели назад
  • SERIKALI YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA NA MADEREVA ENEO LA TOBO LA PILI MJINI ZANZIBAR 8 месяцев назад
    SERIKALI YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA NA MADEREVA ENEO LA TOBO LA PILI MJINI ZANZIBAR
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • Mbunge Nassor Mchele, Muwakilishi Zawad na Madiwani wa jimbo la Konde wapongeza wanafunzi waliofaulu 1 месяц назад
    Mbunge Nassor Mchele, Muwakilishi Zawad na Madiwani wa jimbo la Konde wapongeza wanafunzi waliofaulu
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Makabidhiano ya Ndoo na Ving'amuzi kwa wachakataji wa dagaa 19 часов назад
    Makabidhiano ya Ndoo na Ving'amuzi kwa wachakataji wa dagaa
    Опубликовано: 19 часов назад
  • AGALIA HII UTAPENDA RAIS MWINYI MIAKA 60 ELIMU BILA MALIPO ZANZIBAR 1 год назад
    AGALIA HII UTAPENDA RAIS MWINYI MIAKA 60 ELIMU BILA MALIPO ZANZIBAR
    Опубликовано: 1 год назад
  • MBUNGE WA ZANZIBAR ALIYEUKATAA UTANZANIA AJAA KWENYE MFUMO WA KUNAMBI BUNGENI, 1 год назад
    MBUNGE WA ZANZIBAR ALIYEUKATAA UTANZANIA AJAA KWENYE MFUMO WA KUNAMBI BUNGENI, "YEYE SIO MZANZIBAR"
    Опубликовано: 1 год назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5