У нас вы можете посмотреть бесплатно MVUA YALETA BALAA MOSHI, WATU WATATU WAFARIKI KWA KUANGUKIWA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu watatu, wakiwemo wawili wa familia moja, wamefariki dunia katika Kata ya Mbokomu, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, baada ya kuangukiwa na nyumba yao kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali mkoani humo. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, Mei 6, 2025, ambapo waathirika walikuwa wamelala ndani ya nyumba hiyo wakati janga hilo lilipotokea. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kutoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi katika maeneo ya mkondo wa maji.