У нас вы можете посмотреть бесплатно SHUHUDIA "COMEDIAN" MAMA MAWIGI, WANAFUNZI WALIVYOIBUKA OFISINI KWA WAZIRI ULEGA, UBUNIFU CHALLENGE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amepokea ugeni na mwaliko kutoka kwa Mwigizaji maarufu wa vichekesho nchini, Konjesta John maarufu kwa jina la "Mama Mawigi" aliyefika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Mwigizaji huyo alifika kwa Waziri huyo kwa lengo la kuunga mkono andiko la ubunifu (Ubunifu Challenge) kwa wanafunzi wa uhandisi wa vyuo vikuu lililoanzishwa na Waziri huyo ili kutatua changamoto ya foleni kwa jiji la Dar es Salaam. Pia, Mwigizaji huyo alifika kumpa mwaliko Waziri huyo kuhudhuria tamasha lake la vichekesho lililopangwa kufanyika Machi 6 mwaka huu, ambapo amesema atatumia sanaa ya ucheshi kufikisha ujumbe wake kwa jamii kuhusu namna ya kutatua kero za foleni mijini. Katika hatua nyingine, Ulega amepokea ujumbe kutoka kwa Serikali ya Wanafunzi wa UDSM (DARUSO) na Ndaki ya Uhandisi na Teknolojia (CoET) ambapo amewashukuru wanafunzi na mwitikio wa Watanzania kwenye suala hilo.