У нас вы можете посмотреть бесплатно Kundi la Rastafari lapinga uharamishaji wa bangi, uamuzi kutolewa mwezi Mei или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mahakama inayoshughulikia kesi za kikatiba Milimani itatoa uamuzi wake mnamo tarehe 27 mwezi huu kwenye kesi kuhusu ombi la kuhalalisha matumizi ya bangi humu nchini. Chama cha Rastafari humu nchini kiliwasilisha kesi mahakamani mnamo mwaka 2021, kikidai kwamba bangi ni sehemu muhimu ya imani yao ya kidini na kuiharamisha kunakiuka haki zao za kikatiba. Na jinsi ripota wetu Ruth Wambui anavyotuarifu, kioja kilishuhudiwa nje ya mahakama wakati mmoja wa wafuasi wa kundi hilo alipojaribu kuingia mahakamani akiwa na mbegu za bangi akidai zilifaa kutumika kama ushahidi kwenye kesi hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive