У нас вы можете посмотреть бесплатно JANUARY MAKAMBA: PANDA SHUKA, MAGUFULI AKAMTUMBUA, RAIS SAMIA AKAMTEUA, NDOTO za URAIS ZIPO PALEPALE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JANUARY MAKAMBA: PANDA SHUKA, MAGUFULI AKAMTUMBUA, RAIS SAMIA AKAMTEUA, NDOTO za URAIS ZIPO PALEPALE... Agosti 30, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, Dk Suluhu Hassan aliendelea kufanya mabadiliko kwenye timu yake ya utendaji hasa kwenye baraza la mawaziri na kuteua naibu waziri mkuu cheo ambacho hakikuwepo nafasi hiyo akiichukua Dk Doto Biteko akiwa pia ndiye Waziri wa Nishati. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Muungano wa Tanzania, Dk Mosses Kusiluka, Rais samia alimteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje kutoka kuwa Waziri wa Nishati, jambo lililopokelewa kwa hisia tofauti kwenye mitandao ya kijamii... CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx