У нас вы можете посмотреть бесплатно MODEWJI FOUNDATION YAENDELEA KUGUSA MAISHA YA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MOI kwa kushirikiana na Modewji Foundation wameandaa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu bure kwa watoto wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi, kuanzia 24–28 Oktoba 2025 katika viwanja vya MOI – Dar es Salaam. Huduma hizi zinajumuisha vipimo, uchunguzi, na ushauri wa kitabibu kutoka kwa madaktari bingwa zikiwa ni hatua ya kuokoa maisha na kutoa matumaini kwa familia nyingi. Modewji Foundation imetoa wito kwa wazazi kuwaondoa watoto kwenye imani za kishirikina na kuwapeleka hospitalini kupata matibabu sahihi, huku MOI ikiishukuru Foundation kwa kujitolea kugusa maisha ya watoto hao. Ni kwa pamoja tunajenga jamii yenye ustawi na upendo kwa watoto wote. #ModewjiFoundation #MOI #JamiiYenyeUstawi #MatumainiMapya #MOITanzania #modewji #Tanzania #healthcare