У нас вы можете посмотреть бесплатно TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA DSM 2025 | REGIONAL ANNUAL HEALTH JOINT EVALUATION MEETING или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Abdul R. Mhinte, ameongoza kikao cha Regional Annual Health Joint Evaluation Meeting 2025 kilicholenga kufanya tathmini ya kina ya utolewaji wa huduma za afya katika Mkoa wa Dar es Salaam. Kikao hiki kimewakutanisha wadau wa sekta ya afya kutoka ngazi ya wilaya, vituo vya afya na zahanati, kikijadili viashiria muhimu vya utoaji huduma, mafanikio yaliyopatikana, changamoto zilizopo, pamoja na mbinu bora (best practices) za kuboresha upatikanaji na ubora wa huduma za afya kwa wananchi. Akizungumza katika kikao hicho, Katibu Tawala wa Mkoa amesisitiza umuhimu wa ubunifu, uwajibikaji na uweledi katika utoaji wa huduma, hususan katika kuimarisha huduma za utalii tiba na kuongeza ushindani wa sekta ya afya ndani na nje ya nchi. Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohamed Mang’una, ametoa pongezi kwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake katika kuboresha miundombinu ya afya, matumizi ya mifumo ya kidijitali na utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote. . . . . . Karibu kwenye ukurasa rasmi wa YouTube wa #ustawiwajamii DSM Digital! Hapa utapata habari, makala, na mafunzo mbalimbali kuhusu Ustawi katika Jamii yetu. "Tukiwa na maelfu ya Maafisa Ustawi wa Jamii nchi nzima, tumejipanga kutoa huduma bora kwa wananchi na kujenga jamii yenye Ustawi." 👍 Usisahau ku LIKE, SHARE, na SUBSCRIBE 🛎️ Turn on notifications to never miss an upload. 📢 Toa Maoni yako au Ushauri #UstawiWaJamii #AfyaBoraKwaWote #RegionalHealthEvaluation2025 #BimaYaAfyaKwaWote #DarEsSalaam #HudumaBoraZaAfya