• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

RC Mhita Azindua Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima Msimu wa 2025/2026 скачать в хорошем качестве

RC Mhita Azindua Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima Msimu wa 2025/2026 1 месяц назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC Mhita Azindua Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima Msimu wa 2025/2026
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: RC Mhita Azindua Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima Msimu wa 2025/2026 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно RC Mhita Azindua Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima Msimu wa 2025/2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон RC Mhita Azindua Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima Msimu wa 2025/2026 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



RC Mhita Azindua Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima Msimu wa 2025/2026

RC Mhita Azindua Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima Msimu wa 2025/2026 Na Johnson James, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, amezindua rasmi Mpango wa Kitaifa wa Ugawaji wa Mbegu Bora kwa Wakulima kwa mpango wa ruzuku kwa msimu wa kilimo 2025/2026, unaolenga kuongeza tija ya uzalishaji, kukuza uchumi wa wakulima na kuongeza pato la Serikali Uzinduzi huo umefanyika leo, Oktoba 23, 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, taasisi za umma na binafsi, wafanyabiashara, pamoja na wakulima wa mazao mchanganyiko kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mhe. Mhita alisema kuwa kwa msimu wa kilimo wa mwaka 2025/2026, jumla ya tani 192 za mbegu bora za mazao ya choroko, mbaazi, ufuta, dengu na soya zenye thamani ya shilingi bilioni 1.82 zitanunuliwa na kusambazwa nchini kote. Kwa Mkoa wa Shinyanga pekee, jumla ya tani 3 za mbegu za choroko zitatolewa na kusambazwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Manispaa ya Shinyanga na Halmashauri ya Kishapu ili kuwawezesha wakulima kuongeza uzalishaji na kuboresha kipato chao. “Ni furaha kubwa kuona mpango huu unatekelezwa kwa vitendo. Tani 192 za mbegu bora zitagawiwa nchini kote, na mkoa wetu utapata tani 3 zitakazowanufaisha wakulima wetu. Hii ni fursa ya kuongeza uzalishaji na kuinua uchumi wa wananchi wetu,” alisema Mhe. Mhita. Ameeleza kuwa mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha kilimo kinakuwa uti wa mgongo wa uchumi wa taifa kupitia upatikanaji wa mbegu bora, pembejeo za kilimo na masoko ya uhakika kwa wakulima. Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi. Ireen Mlolwa alisema mamlaka hiyo inaendelea kuhakikisha wakulima wanapata mbegu zenye ubora na tija, zitakazowawezesha kuzalisha mazao bora yenye soko la uhakika ndani na nje ya nchi. Bi. Mlolwa aliongeza kuwa COPRA kwa kushirikiana na maafisa ugani na vijana waliopitia programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) wataendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima kuhusu mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbegu bora na upatikanaji wa masoko yenye faida. Aidha, aliwahimiza wakulima kujiunga na mifumo rasmi ya stakabadhi ghalani ili kupata fursa ya kuuza mazao yao kwa bei bora na kuepuka hasara zinazotokana na biashara zisizo rasmi. Kwa ujumla, Mkoa wa Shinyanga umeahidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo kama sehemu ya utekelezaji wa maelekezo ya Serikali ya kufanya kilimo kiwe nguzo kuu ya uchumi wa Taifa.

Comments
  • DKT. SELEMANI JAFO AMEKUWA MWALIMU MZURI SANA WAKATI NIKIWA BUNGENI - JUDITH KAPINGA. 2 дня назад
    DKT. SELEMANI JAFO AMEKUWA MWALIMU MZURI SANA WAKATI NIKIWA BUNGENI - JUDITH KAPINGA.
    Опубликовано: 2 дня назад
  • NZEGA MJINI 1 месяц назад
    NZEGA MJINI
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • MAPOKEZI YA MADAKTARI BINGWA SHINYANGA | HUDUMA ZA KIBINGWA KWA WANANCHI WA HALMASHAURI 6! 1 месяц назад
    MAPOKEZI YA MADAKTARI BINGWA SHINYANGA | HUDUMA ZA KIBINGWA KWA WANANCHI WA HALMASHAURI 6!
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Какую роль Путин сыграл в создании плана Трампа? Христо Грозев 3 часа назад
    Какую роль Путин сыграл в создании плана Трампа? Христо Грозев
    Опубликовано: 3 часа назад
  • Мирный план Путина. Конец войны — утопия. Этот шанс упустят. «Трамп, ты неправ» | Пастухов, Еловский 19 часов назад
    Мирный план Путина. Конец войны — утопия. Этот шанс упустят. «Трамп, ты неправ» | Пастухов, Еловский
    Опубликовано: 19 часов назад
  • SHUHUDIA ULIPOFIKA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SHINYANGA, RC MHITA ATEMBELEA UJENZI WAKE, NDEGE KUBWA. 1 месяц назад
    SHUHUDIA ULIPOFIKA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SHINYANGA, RC MHITA ATEMBELEA UJENZI WAKE, NDEGE KUBWA.
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • HUWEZI KUITAJA SONGWE BILA KUIZUNGUMZIA SEKTA YA KILIMO – RC MAKAME 2 дня назад
    HUWEZI KUITAJA SONGWE BILA KUIZUNGUMZIA SEKTA YA KILIMO – RC MAKAME
    Опубликовано: 2 дня назад
  • Павел щелин. Глобализм - это антиимперия. Разговор с Павлом Щелиным о России и Украине. 16 часов назад
    Павел щелин. Глобализм - это антиимперия. Разговор с Павлом Щелиным о России и Украине.
    Опубликовано: 16 часов назад
  • RC MRINDOKO AKABIDHI OFISI YA MACHINGA NA MAAFISA USAFIRISHAJI. 3 недели назад
    RC MRINDOKO AKABIDHI OFISI YA MACHINGA NA MAAFISA USAFIRISHAJI.
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Армия смерти Гитлера: Дас Райх — БЕЗ ЦЕНЗУРЫ 1 месяц назад
    Армия смерти Гитлера: Дас Райх — БЕЗ ЦЕНЗУРЫ
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Профессии будущего: куда пойти учиться в 2025? 3 месяца назад
    Профессии будущего: куда пойти учиться в 2025?
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Nov.17, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast Трансляция закончилась 6 дней назад
    DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Nov.17, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
    Опубликовано: Трансляция закончилась 6 дней назад
  • THE MOST BEAUTIFUL FUSION!! Flamenco, Accordion & Violin in Music That Touches the Soul 1 месяц назад
    THE MOST BEAUTIFUL FUSION!! Flamenco, Accordion & Violin in Music That Touches the Soul
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • RC MRINDOKO AWAOMBA WANANCHI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA, ASEMA MKOA WA KATAVI UKO SALAMA 2 недели назад
    RC MRINDOKO AWAOMBA WANANCHI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO KAMA KAWAIDA, ASEMA MKOA WA KATAVI UKO SALAMA
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Авиация НАТО поднята по тревоге / Истребители открыли огонь 4 часа назад
    Авиация НАТО поднята по тревоге / Истребители открыли огонь
    Опубликовано: 4 часа назад
  • Довели до сломанной ручки: градус напряжения между Украиной и США растёт! 3 часа назад
    Довели до сломанной ручки: градус напряжения между Украиной и США растёт!
    Опубликовано: 3 часа назад
  •  AKATWE MILIONI MBILI KILA SIKU ASITUCHEZEE- RC MHITA 1 месяц назад
    AKATWE MILIONI MBILI KILA SIKU ASITUCHEZEE- RC MHITA
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • СКАНДАЛЬНЫЕ ЗАЯВЛЕНИЯ сенаторов США на мирных переговорах в Женеве 15 часов назад
    СКАНДАЛЬНЫЕ ЗАЯВЛЕНИЯ сенаторов США на мирных переговорах в Женеве
    Опубликовано: 15 часов назад
  • ⚡️ Сделка Запада с Путиным || Зеленского призвали уйти? 4 часа назад
    ⚡️ Сделка Запада с Путиным || Зеленского призвали уйти?
    Опубликовано: 4 часа назад
  • 5 ежедневных привычек, которые защищают простату после 60 лет 4 месяца назад
    5 ежедневных привычек, которые защищают простату после 60 лет
    Опубликовано: 4 месяца назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5