• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

WATUMISHI WOTE WA SEKTA YA ARDHI MOROGORO KUHAMISHWA скачать в хорошем качестве

WATUMISHI WOTE WA SEKTA YA ARDHI MOROGORO KUHAMISHWA 6 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WATUMISHI WOTE WA SEKTA YA ARDHI MOROGORO KUHAMISHWA
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: WATUMISHI WOTE WA SEKTA YA ARDHI MOROGORO KUHAMISHWA в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно WATUMISHI WOTE WA SEKTA YA ARDHI MOROGORO KUHAMISHWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон WATUMISHI WOTE WA SEKTA YA ARDHI MOROGORO KUHAMISHWA в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



WATUMISHI WOTE WA SEKTA YA ARDHI MOROGORO KUHAMISHWA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi William Lukuvi ameagiza kuhamishwa watumishi wote wa sekta ya ardhi katika mkoa mzima wa Morogoro sambamba na kuanzishwa ofisi ya Ardhi Kanda ya Mashariki katika mkoa huo. Uamuzi huo unafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika mkoa huo licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kutatua migogoro ya ardhi katika mkoa huo. Lukuvi alitoa maagizo hayo tarehe 17 Mei 2019 alipokuwa alizungumza na wananchi wa Sokoine katika Kata ya Dakawa wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro wakati wa ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi katika wilaya ya Kilosa na Mvomero. Lukuvi alisema, baada ya kutembelea wilaya ya Kilosa amebaini watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa huo wamejisahau na njia pekee ya kufanya ni kuwaondoa watumishi wote wa sekta hiyo na kuwapeleka maeneo mengine kwa lengo la kupata watendaji wapya. "Majaribio mengi yamefanyika katika mkoa wa Morogoro kama vile kupanga na kupima kila kipande cha ardhi, utoaji hati za kimila pamoja na uamuzi wa Raisi John Pombe Magufuli kufuta mashamba makubwa yasiyoendelezwa lakini mambo katika sekta ya ardhi kwenye mkoa huo hayaendi" alisema Lukuvi Aidha, Waziri Lukuvi alisema, kutokana na mkoa wa Morogoro kuendelea kuwa na migogoro ya ardhi kwa muda mrefu ameamua kuirejesha kanda ya Mashariki ambayo sasa itakuwa kanda maalum ya ardhi kwa mkoa huo itakayokuwa na wataalamu wote wa sekta ya ardhi akiwemo Kamishna Msaidizi wa Ardhi wa Kanda, Wapima, Wathamini pamoja na Wataalamu wa Mipango Miji. Kwa mujibu wa Lukuvi, kwa sasa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ina kanda nane za ardhi nchini na kuanzishwa kanda hiyo kutawafanya wananchi wa mkoa huo kutokuwa na sababu ya kuhangaika mpaka Dodoma kushughulikia masuala ya ardhi. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi alisema, kuanzishwa kwa kanda maalum Morogoro kutaufanya mkoa huo kuwa mkoa pekee Tanzania wenye kanda ya ardhi na kubainisha kuwa ofisi hiyo itatakiwa kuanza kazi mapema mwezi Julai 2019. Aidha, Lukuvi ambaye katika ziara hiyo aliambatana na Kamishna wa Ardhi nchini Mary Makondo, Kaimu Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Samwel Katambi, Mthamini Mkuu wa serikali Evalyne Mugasha na Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati Ezekiel Kitlya alisema, pamoja na uamuzi huo, ameamua kupeleka timu ya wataalamu 15 kutoka Wizarani kufanya uhakiki wa mashamba yaliyofutwa katika wilaya za Kilosa na Mvomero kwa lengo la kupima na kupanga upya mashamba ili kugawa upya mashamba hayo kwa wananchi wanaostahili na mengine kutolewa kwa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Vile vile, Waziri Lukuvi amepiga marufuku wamiliki wa mashamba yaliyofutwa na Raisi kurejeshewa kinyemela mashamba hayo kwa kisingizio cha kuyaendeleza na kusisitiza kuwa iwapo wamiliki wa awali wanayataka mashamba hayo itabidi waombe upya na kama watapatiwa mashamba basi watapewa kulingana na uwezo wao. Awali Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili katika halmashauri ya wilaya ya Mvomero Rugembe Maiga alimueleza Waziri Lukuvi kuwa migogoro mikubwa ya ardhi katika wilaya ya Mvomero iko katika mipaka ya vijiji na mashamba na kubainisha kuwa wilaya hiyo ina jumla ya mashamba 12 yaliyofutwa na Raisi. Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mvomero Yusufu Athuman alisema wilaya hiyo inazo changamoto kubwa katika masuala ya ardhi kwa kuwa wanachi wa wilaya hiyo wana uhitaji mkubwa wa ardhi na sehemu kubwa ya ardhi katika wilaya hiyo iko kwa watu wachache.

Comments
  • Chuo cha Ardhi Morogoro, sehemu ya pili 6 лет назад
    Chuo cha Ardhi Morogoro, sehemu ya pili
    Опубликовано: 6 лет назад
  • SERIKALI YAMALIZA MGOGORO  NA WANANCHI PANGANI KIBAHA WALIOVAMIA SHAMBA LA MITAMBA 3 года назад
    SERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WANANCHI PANGANI KIBAHA WALIOVAMIA SHAMBA LA MITAMBA
    Опубликовано: 3 года назад
  • WAZIRI SILAA AINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI WA GREENWOOD LTD NA WANANCHI, 1 год назад
    WAZIRI SILAA AINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI WA GREENWOOD LTD NA WANANCHI, "MSIWE NA TAHARUKI"
    Опубликовано: 1 год назад
  • Армяно-турецкая война. Последняя попытка возродить Великую Армению 5 лет назад
    Армяно-турецкая война. Последняя попытка возродить Великую Армению
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Mgogoro wa Ardhi wa Miaka 20 waliza wananchi Morogoro 3 года назад
    Mgogoro wa Ardhi wa Miaka 20 waliza wananchi Morogoro
    Опубликовано: 3 года назад
  • WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA AJALI ENEO LA MSAMVU MOROGORO 3 месяца назад
    WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA AJALI ENEO LA MSAMVU MOROGORO
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • VITASA | Tukio zima la Kibwana Shomari kufanyiwa tambiko na kuagwa Morogoro 7 месяцев назад
    VITASA | Tukio zima la Kibwana Shomari kufanyiwa tambiko na kuagwa Morogoro
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Закон Бернулли 9 лет назад
    Закон Бернулли
    Опубликовано: 9 лет назад
  • Визуализация гравитации 10 лет назад
    Визуализация гравитации
    Опубликовано: 10 лет назад
  • DEREVA WA CHADEMA ALIYESABABISHA AJALI MOROGORO AKAMATWA, CHAZO NI UZEMBE 9 месяцев назад
    DEREVA WA CHADEMA ALIYESABABISHA AJALI MOROGORO AKAMATWA, CHAZO NI UZEMBE
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • Rakiety nad Dubajem i panika na stacjach. Wojna już uderza w portfele 7 часов назад
    Rakiety nad Dubajem i panika na stacjach. Wojna już uderza w portfele
    Опубликовано: 7 часов назад
  • WANAWAKE MKOANI ARUSHA WAJITOKEZA KWA WINGI SAMIA ARDHI KLINIKI 1 день назад
    WANAWAKE MKOANI ARUSHA WAJITOKEZA KWA WINGI SAMIA ARDHI KLINIKI
    Опубликовано: 1 день назад
  • “Hatukubaliani kabisa na dhana hiyo — Sekta ya Ardhi si chanzo cha migogoro 3 недели назад
    “Hatukubaliani kabisa na dhana hiyo — Sekta ya Ardhi si chanzo cha migogoro
    Опубликовано: 3 недели назад
  • PROFESA JAY AWACHANA MOROGORO WAIPIGE CHINI CCM - 1 год назад
    PROFESA JAY AWACHANA MOROGORO WAIPIGE CHINI CCM - "MLISIKIA NIMEKUFA - NILETEENI CHADEMA"...
    Опубликовано: 1 год назад
  • KAULI YA KWANZA YA LUCY KOMBANI BAADA YA USHINDI UBUNGE VITI MAALUM MOROGORO 7 месяцев назад
    KAULI YA KWANZA YA LUCY KOMBANI BAADA YA USHINDI UBUNGE VITI MAALUM MOROGORO
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • PAULA HATAKI UZEMBE! AMSIMAMIA MARIOO AACHE KUCHEZA GAME AJIANDAE NA SHOW 2 года назад
    PAULA HATAKI UZEMBE! AMSIMAMIA MARIOO AACHE KUCHEZA GAME AJIANDAE NA SHOW
    Опубликовано: 2 года назад
  • Почему МАЛЕНЬКИЙ атом создает такой ОГРОМНЫЙ взрыв? 3 месяца назад
    Почему МАЛЕНЬКИЙ атом создает такой ОГРОМНЫЙ взрыв?
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • KAMISHNA WA ARDHI MSAIDIZI MKOA WA MOROGORO ATOA WITO WANANCHI KUFIKA SAMIA ARDHI KLINIKI IFAKARA 2 дня назад
    KAMISHNA WA ARDHI MSAIDIZI MKOA WA MOROGORO ATOA WITO WANANCHI KUFIKA SAMIA ARDHI KLINIKI IFAKARA
    Опубликовано: 2 дня назад
  • VIJANA 14 MBARONI KWA KUJIFANYA MAOFISA WATOA AJIRA 11 месяцев назад
    VIJANA 14 MBARONI KWA KUJIFANYA MAOFISA WATOA AJIRA
    Опубликовано: 11 месяцев назад
  • NUNGU AJIUA KISA STRESS ZA UGUMU WA MAISHA MOROGORO, MWANAFUNZI AZIDIWA STENDI NA KUFARIKI 1 год назад
    NUNGU AJIUA KISA STRESS ZA UGUMU WA MAISHA MOROGORO, MWANAFUNZI AZIDIWA STENDI NA KUFARIKI
    Опубликовано: 1 год назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5