У нас вы можете посмотреть бесплатно Simanzi!!!! Baba wa kambo ambaka mtoto wa mkewe или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la polisi mkoani Geita linamshikilia Vicent Said(27) mkazi wa kata ya Magenge wilayani Geita kwa tuhuma za kumbaka mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka saba. Tukio hilo limetokea julai 29,2021 huko katika kijiji cha Sobora ambapo mtuhumiwa anadaiwa kumrubuni mtoto kwa mandazi na juice. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani hapa Hendry Mwaibambe amesema mtuhumiwa amekamatwa na atafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa. Kamanda amesema baada ya tukio hilo wapo watu wanaotaka kuharibu ushahidi ili mtuhumiwa aachiwe huru na kuwatahadharisha kuacha mara moja kwakuwa polisi hawatafumbia macho vitendo vyovyote vya kuharibu ushahidi kwa mtoto huyo.