У нас вы можете посмотреть бесплатно Wakimbizi kutoka DRC wateseka nchini Burundi, katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mpango wa kuwasafirisha watu waliokimbia vita nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo hadi kambi za wakimbizi nchini Burundi unaendelea. Serikali ya Burundi tayari imewasafirisha maelfu ya waCongomani waliokuwa wakiishi katika kambi ya muda ya wakimbizi katika uwanja wa Rugombo hadi eneo la Rutana. Hata hivyo mpango huu umekumbwa na utata huku baadhji ya wakimbizi wakipinga na kutaka kurejeshwa nyumbani au kupewa hifadhi katika eneo ambalo ni karibu na nyumbani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili