У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU WAWILI WAFARIKI AJALI YA BASI NA LORI SHINYANGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shinyanga. Watu wawili wamefariki dunia, huku wengine wanne wakijeruhiwa katika ajali ya magari iliyotokea leo, Septemba 7, 2025, katika barabara kuu ya Isaka-Tinde mkoani Shinyanga. Ajali hiyo ilihusisha basi la abiria aina ya Tata, mali ya kampuni ya Ally's, likitokea Kahama kuelekea Bariadi mkoani Simiyu, kugongana uso kwa uso na lori (Fuso) lililokuwa likitokea Shinyanga kuelekea Kahama. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema ilitokea saa 11 jioni katika tarafa ya Itwangi.