У нас вы можете посмотреть бесплатно Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Presha ya Ujauzito, Presha ya Mimba, Shinikizo kubwa la Presha kwa Mjamzito, Kifafa Cha Mimba, Kifafa Cha Ujauzito, Presha kubwa kwa Mjamzito, Kifafa Cha Mimba Miezi Mitatu ya katikati, Kifafa Cha Mimba Miezi Mitatu ya mwishoni mwa Ujauzito, Presha ya Ujauzito na Dr.Mwanyika Kuna baadhi ya akina Mama wajawazito huweza kupata shinikizo kubwa la Damu na wakaishia kupata kifafa cha Mimba katika kipindi fulani cha Ujauzito, 70% ya Wajawazito hao huwa ni wale wanaopata Ujauzito kwa mara ya kwanza uzeeni (Miaka 35 kwenda juu) au katika umri mdogo chini ya miaka 21. Presha kutokana na Ujauzito/Mimba hujulikana kama ongezeko la shinikizo la damu kuanzia 140/90mmHg kuanzia wiki ya 20 (Miezi 5) kwenda juu kwa Mama ambaye alikuwa hana Presha kabla ya Ujauzito na huweza kupungua katika wiki 4 au 6 mara baada ya kujifungua na hata kama ikiendelea kuwepo basi huwa haizidi wiki 12 tokea Mama ajifungue. Vihatarishi vinavyopelekea Mama/Dada kuwa na Presha kubwa katika Ujauzito wake. 1. Mimba ya kwanza Uzeeni au Utotoni! 2. Historia ya Presha kwa Mama yake mzazi. 3. Magonjwa ya kurithi mfano upungufu wa Protini C na S au (APS). 4. Matatizo kutokana na Kondo la nyuma mfano Mama mjamzito mwenye Kisukari au Mapacha. 5. Uzito Mkubwa / Fetma. 6.Baba Mpya. Dalili za Presha kutokana na Ujauzito ni kama; 1. Kuongezeka kwa presha zaidi ya 140/90mmHg. 2. Maumivu ya kichwa yasiyopungua kwa kutumia dawa za maumivu. 3. Kuvimba Miguu ghafla au mwili mzima ikihusisha usoni. 4. Kupata shida ya kuona au kuona wenge. 5. Maumivu ya tumbo upande wa kulia sehemu ya juu! 6. Kukojoa Mkojo kidogo. 7. Kupata shida kwenye damu kwa sababu ya upungufu wa seli zinazogandisha Damu. 8. Kuongezeka kwa Protini kwenye Mkojo. 9. Kushindwa kupumua. KUMBUKA; Uonapo Dalili hizo wakati wa Ujauzito basi unatakiwa kupata ushauri kutokwa kwa Mkunga au Daktari ili kuhakikisha unakuwa na Afya! NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇 / drmwanyika Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube). Subscribe,Comment and Share JapideAfya_Services Your Health is Our Health Instagram as @JapideAfya_Services Facebook page as @JapideAfya_Services ©Dr.Mwanyika. #MamaAfya #PreshaMjamzito #JapideAfya_Services