У нас вы можете посмотреть бесплатно TUMETOKA MBALI SANA FAMILIA ILIYOKUWA IKIHESHIMIWA NI ILE YENYE REDIO - DKT. BITEKO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TUMETOKA MBALI SANA FAMILIA ILIYOKUWA IKIHESHIMIWA NI ILE YENYE REDIO - DKT. BITEKO “ Tumetoka mbali, zamani familia iliyokuwa maarufu na kuheshimika kijijini ni ile iliyokuwa na taa ya chemli na watu walijipanga kuangalia namna inavyofaidi mwanga, Dunia imebadilika kwa kiwango ambacho leo hii kila nyumba ina umeme na watu wanaona umeme kama hitaji la lazima kwenye maisha yao, Nataka niwaombe walimu wote nchini endeleeni kuishi kwa dunia inayobadilika, fikirini upya kila siku. Viongozi mnatakiwa kuwafikia walimu wote, kuwasikiliza na kuwahudumia ili wapate sababu ya kuwapenda ”. amesema Dkt. Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema hayo Oktoba 16, 2025 katika Manispaa ya Musoma, Mkoani Mara wakati akifungua Semina ya Viongozi wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kanda ya Ziwa na kanda ya Magharibi iliyoshirikisha viongozi kutoka mikoa minane. SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 / @kasacomedia ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA SWALI AU JAMBO LOLOTE? ⚫️ WASILIANA NA KASAKO MEDIA : ( +255 761984534 )| Kimataifa: +1 317-519-5285 ⚫️ Email: [email protected] | [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW ⚫️ Kwa UPDATES zaidi,Subcribe kasako media ⚫️ Youtube / @kasacomedia Project on the lives of artist and more| @Kashindi Msambilwa| CEO/FOUNDER @Sangani Fikiri. | CEO/FOUNDER @Jerome Bucuma Paul | General Manager @Richard Wakona | General Manager @Emmy Joel Mwaipopo | Program Manager