У нас вы можете посмотреть бесплатно James Mgego Atoa Ombi Zito | Baraza la Vijana CCM moto| Maazimio Mapya ya Ajira yatolewa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chama Cha Mapinduzi manispaa ya Songea kupitia katibu wa Chama hicho ndugu James Mgego amemuomba mstahiki meya wa Manispaa ya Songea kuwakumbuka vijana wa manispaa hiyo pale zinapotokea fursa za ajiri katika manispaa ya Songea. Akiongea kwenye baraza la kawaida la vijana wa Chama Cha mapinduzi manispaa ya Songea katibu wa Chama Cha Mapinduzi Manispaa ya Songea ndugu James Mgego amesema zipo fursa nyingi za ajiri katika serikali ambazo vijana wanaweza kuzipata na kuondoa changamoto ya ajira hivyo amemuomba mstahiki Meya wa manispaa ya Songea kuwakumbuka vijana wa manispaa ya Songea katika fursa hizo za ajira. Jumuiya ya Umoja wa Vijana manispaa ya Songea imepiga hatua kubwa hasa katika kuongeza wanachama katika jumuiya hiyo ambapo Jumuiya hiyo imeweza kuwasajili zaidi ya wanachama elfu 30 kwenye mfumo wa kielekroniki. Akiongea kwa niaba ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ndugu Hemed Chale mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Ruvuma ndugu Kervin Chale amewataka vijana kutumia fursa ambazo zimeletwa na serikali ya CCM ili waweze kujikwamua kiuchumi. SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...