У нас вы можете посмотреть бесплатно Mzozo wa ndani kwa ndani wazidi kutokota ODM или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vigogo wa chama cha ODM wanaendelea kutofautiana kuhusu maslahi makuu ya chama hicho, ndani ya serikali jumuishi, hali inayoashiria mgawanyiko mkubwa ndani ya chama hicho. Wakati kaimu kiongozi wa chama hicho Seneta Oburu Odinga na mwenyekiti wa kitaifa Gavana Gladys Wanga wakisisitiza kuwa ODM itaendelea kusalia ndani ya serikali jumuishi, Naibu Kiongozi wa Chama hicho Seneta Godfrey Otsotsi anasema hakuna faida ya kushiriki serikalini iwapo ajenda ya vipengele kumi iliyomo kwenye ripoti ya NADCO haitatekelezwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: / kbcchannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News