У нас вы можете посмотреть бесплатно KUANZA KWA MRADI WA UJENZI WA BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI UWEMBA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mradi wa Ujenzi wa bweni la wavulana katika shule ya sekondari uwemba unaofadhiliwa na mfuko wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) kwa gharama ya shilingi Milioni 130,000,000/= Umeanza kwa wananchi pamoja na wataalamu kujitolea nguvu kazi katika hatua ya awali ya ujezi wa msingi. Agosti 31 ,2023 ,Wanachi wa kijiji cha Ikisa Kata ya Uwemba wamejitokeza kwa wingi kushirikiana na viongozi wa kata pamoja na maafisa maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri ya Mji Njombe, katika ujenzi wa msingi kwa jili ya Bweni la wavulana kwenye Shule ya Sekondari ya Kata ya Uwemba. Bweni linalojengwa litakuwa na uwezo wa kulaza wanafunzi themanini (80). Awali wanafunzi wavulana katika shule ya sekondari Uwemba walilazimika kutumia vyumba vya madarasa kama mabweni .