У нас вы можете посмотреть бесплатно MTANZANIA AJIKAMUA LITA 40 ZA MAZIWA YAKE LICHA YA KUMNYONYESHA MWANAE, AOMBA KUTOA MSAADA WA MAZIWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tangu anaanze kukamua maziwa yake miezi miwili iliyopita ameshahifadhi pakiti 200 za maziwa zenye ujazo wa mililita 100 ambayo ni sawa na lita 40 au ndoo kubwa mbili za maji. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, maziwa ya mama pekee ni chakula na kinywaji tosha kwa mtoto mchanga kwa miezi sita ya mwanzo ya maisha yake. Anastazia, ambaye ni Meneja Programu katika Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), mtoto wake wa kwanza, Raphana ametimiza miezi mitatu. Anasema aliamua kukamua maziwa na kuyaweka kwenye pakiti, baada ya kujifunza kutoka katika mitandao ya kijamii wakati akijiandaa kumpokea mtoto wake. “Nilipopata ujauzito nilianza kuingia mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali. Nilitaka mwanangu anyonye maziwa yangu pekee,” anasimulia Anastazia.