У нас вы можете посмотреть бесплатно Rai na Siha : Athari za kisukari miguuni или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa kawaida utahisi uchungu kwenye mguu endapo utajikwaa au hata kuwa na kidonda mguuni. LKakini madaktari wanasema kwamba wanaougua ugonjwa wa kisukari mara nyingi huwa vigumu kuwa na hisia kwenye mguu au hata ugumu wa kidonda mguuni kupona kutokana na ukosefu wa msukumo wa damu kwenye sehemu ya miguu. Haya yote yakisababishwa na ugonjwa wa Kisukari. Hii leo kwenye makala ya Rai na Siha tunaangazia athari za ugonjwa wa kisukari miguuni almaarufu kwa kimombo kama Diabetic Foot.