• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925 скачать в хорошем качестве

Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925 11 дней назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925

Hili ni jambo muhimu sana kwa anayejiita ama kutaka kuwa Mkristo Em soma mwenyewe kisa hiki Yohana 3:1-8 "Nikodemo Amwendea Yesu Usiku" 3 Yesu akamjibu, “Ninakwambia hakika, mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona Ufalme wa Mungu.” 5 Yesu akamwambia, “Ninakuambia hakika, kama mtu hakuzaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuingia katika Ufalme wa Mungu. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho. Wakati Yesu akizungumza na Nikodemo, alisema, “Amin, Amin, nakuambia: mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu”. Nikodemo akamwambia, “Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa?” Yesu akajibu, “Amin, Amin, nakuambia: Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuingia ufalme wa Mungu. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho. Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, ‘Hamna budi kuzaliwa mara ya pili…’ (Yohana 3:3-7, TMP). Msemo “kuzaliwa mara ya pili” unamaanisha “kuzaliwa toka Kiroho” Nikodemo alikuwa na uhitaji wa kweli. Alihitaji mabadiliko ya moyo wake... Mabadiliko ya kiroho. Kuzaliwa upya, yaani kuzaliwa mara ya pili, ni kitendo au hatua ya Kiungu ambapo uzima wa milele hupewa mtu yule aaminiye (2 Wakorintho 5:17; Tito 3:5; 1 Petro 1:3; 1 Yohana 2:29; 3:9; 4:7; 5:1-4, 18). Yohana 1:12, 13 yaonyesha kuwa ”kuzaliwa mara ya pili” pia ina maana “kufanyika watoto wa Mungu” pale tuwekapo imani yetu katika jina la Yesu Kristo. Yohana 1:12-13 12 Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu. 13 Hawa hawakuwa watoto wa Mungu kwa kuzaliwa kwa njia ya asili, wala kwa mapenzi au mipango ya watu bali wamezaliwa na Mungu mwenyewe. [si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu. SUV] Sasa swali lafuata, “kwa nini mtu anahitaji kuzaliwa mara ya pili?” Mtume Paulo katika Waefeso 2:1 asema, “Kwa habari zenu, mlikuwa wafu katika makosa na dhambi zenu” (KCV). Kwa Warumi, aliwaandikia katika Warumi 3:23 akisema..., ”kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu” (TMP). Wenye dhambi ni wafu “kiroho”, lakini pale wanapopokea uzima rohoni kwa kumwamini Kristo, hapo ndipo Biblia hulinganisha jambo hilo na kuzaliwa mara ya pili. Wale tu waliozaliwa mara ya pili ndio wenye msamaha wa dhambi na uhusiano na Mungu. Kama bado hujawahi kumwamini Bwana Yesu Kristo kama mwokozi wa maisha yako, je utakuwa na utayari wa kumsikiliza Roho mtakatifu wakati akizungumza na moyo wako? Unahitaji kuzaliwa mara ya pili. Je, ungependa utubu na ufanyike kuwa kiumbe kipya ndani ya Kristo hivi leo? Kumbuka “Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndiyo wale waliaminio jina lake; waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu” (Yohana 1:12-13, TMP). Ukiwa unataka kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako na uzaliwe mara ya pili, Omba nami sala hii fupi. Kumbuka ya kwamba, kwa kusema ombi hili au ombi lengine lolote lile haliwezi kukuokoa. Ni kwa kumwamini Kristo pekee ndiko kutakuokoa toka dhambini. Ombi hili ni njia ya kumweleza Mungu imani yako kwake na kumshukuru kwa kukupa wokovu. “Mungu, najua yakwamba nimefanya dhambi kinyume chako na ninastahili adhabu. Lakini Yesu Kristo akaichukua adhabu niliyo stahili ili kwa kumwamini yeye, nipate kusamehewa. Naweka imani yangu Kwako pekee ili niokolewe. Ahsante kwa neema yako kuu na kwa msamaha-zawadi ya uzima wa milele! Amina!” ➲Ikiwa unapenda mafundisho yetu na ungependa kupata taarifa mpya kila wakati, tafadhali jiandikishe na ubonyeze kengele🔔 (karibu na kitufe cha kujiunga) ili kupokea taarifa mpya!!! TAFADHALI KUMBUKA: Mafundisho ama maoni yoyote kati ya yatayotolewa na wafundishaji si lazima yawakilishe maoni ya chaneli hii “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ au mafundisho mingine yoyote ambayo yanaweza kuwa au kusudiwa. Injili nje ya Kuta za Kanisa haiwatetei wala kuunga mkono shughuli yoyote isiyo halali ama inayokiuka sheria za nchi kwa mtu yeyote au jumuiya. ILANI YA HAKI MILIKI: Tunamruhusu mtu yeyote kutafsiri maudhui ya mafundisho yetu na kushirikisha wengine video lakini video lazima ibaki ikiwa na chapa chini “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ (yenye nembo yetu na kiunganishi cha chaneli hii) wazungumzaji wote wanapaswa pia kutambuliwa katika maelezo, ZINGATIO: Hatufungani wala Kuchangamana na Taasisi, Dini ama Dhehebu lolote, kwetu ni nguvu za Mungu katika Neno lake!

Comments
  • Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925 4 дня назад
    Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925
    Опубликовано: 4 дня назад
  • MAPYA YAFICHUKA, MPASUKO NDANI YA CCM, KASSIM MAJALIWA/ 1 час назад
    MAPYA YAFICHUKA, MPASUKO NDANI YA CCM, KASSIM MAJALIWA/ "CHADEMA HAIKWEPEKI KWA WATU/ WANATAKA HAKI"
    Опубликовано: 1 час назад
  • Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 1, 2025 5 месяцев назад
    Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 1, 2025
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • ENKATAMPOI AFUNGA MWAKA NA TAMASHA KUBWA LA KUSIFU NA KUABUDU 8 дней назад
    ENKATAMPOI AFUNGA MWAKA NA TAMASHA KUBWA LA KUSIFU NA KUABUDU
    Опубликовано: 8 дней назад
  • Imani [Kitu Hai, Kinacho ishi na Kukua] Mwl Eliya Lsn 1, 150925 13 дней назад
    Imani [Kitu Hai, Kinacho ishi na Kukua] Mwl Eliya Lsn 1, 150925
    Опубликовано: 13 дней назад
  • Mbinguni, Kuzimu na Jehanamu [Ni wapi?] | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925 1 месяц назад
    Mbinguni, Kuzimu na Jehanamu [Ni wapi?] | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Молодежь уходит из церкви! Разрыв поколений || Александр Шевченко 8 дней назад
    Молодежь уходит из церкви! Разрыв поколений || Александр Шевченко
    Опубликовано: 8 дней назад
  • HIVI NDIVYO DHAMBI ZA SIRI ZINAVYOZUIA KARAMA, VIPAWA NA HUDUMA ZA WATU | EV DANIELY JOSHUAN 4 месяца назад
    HIVI NDIVYO DHAMBI ZA SIRI ZINAVYOZUIA KARAMA, VIPAWA NA HUDUMA ZA WATU | EV DANIELY JOSHUAN
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE. 4 года назад
    FAHAMU NGUVU YA MAOMBI USIKU WA MANANE.
    Опубликовано: 4 года назад
  • Biblia [Kwanini ni ngumu kueleweka] Mwl Eliya Lsn 6, 250825 1 месяц назад
    Biblia [Kwanini ni ngumu kueleweka] Mwl Eliya Lsn 6, 250825
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925 2 недели назад
    Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Обучение Онлайн-01.01.2025 Трансляция закончилась 12 часов назад
    Обучение Онлайн-01.01.2025
    Опубликовано: Трансляция закончилась 12 часов назад
  • Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 3, 220925 2 недели назад
    Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 3, 220925
    Опубликовано: 2 недели назад
  • KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA, TUMIA KANUNI HIZI 4 месяца назад
    KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA, TUMIA KANUNI HIZI
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako 1 год назад
    Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
    Опубликовано: 1 год назад
  • JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO 4 года назад
    JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
    Опубликовано: 4 года назад
  • 3 дня назад
    "Печат на живия Бог" п-р Дейвид Нг
    Опубликовано: 3 дня назад
  • Biblia Ifunzavyo | Mwl. Eliya Lsn 1, 080625 3 недели назад
    Biblia Ifunzavyo | Mwl. Eliya Lsn 1, 080625
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Moyoni Mwako jaza Neno la Mungu  kuliko maneno ya kwako || Brown Mwakipesile 3 года назад
    Moyoni Mwako jaza Neno la Mungu kuliko maneno ya kwako || Brown Mwakipesile
    Опубликовано: 3 года назад
  • 29 декабря 2025 г. 4 дня назад
    29 декабря 2025 г.
    Опубликовано: 4 дня назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5