У нас вы можете посмотреть бесплатно Mtazame mchoraji wa majengo Lindi. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mapema nimetembelea barabara ya Ghana Road kufuatia picha ya Mchoraji maarufu wa kazi ya Sanaa hapa Lindi. Anayefahamika kwa jina la (Azizi Mkwachile Azizi) By Azizi Sign Art kutokana na picha aliyoichora kwenye kazi zake za sanaa. Kutokana na picha hiyo sasa imenipeleka kwenye eneo alilolichora kwenye maeneo ya barabara ya Ghana Road iliyopo Manispaa ya Lindi. Nimekuwekea kiunganishi hapa chini kama utahitaji kuijua historia ya Ghana Road iliyopo Lindi Click: / 1bxh34ycly Tuambie kwenye Comment unampa asilimia ngapi kwenye uchora wake? Abdulrasul muhibu _Mchambuzi masuala ya jamii kazi za sanaa na mhifadhi wa utamaduni wa kiafrika.