У нас вы можете посмотреть бесплатно RC SENDIGA AWAPONGEZA WANANCHI HANANG' KWA KUJITOLEA KATIKA MIRADI, AWAPA SALAMU ZA RAIS SAMIA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RC SENDIGA AWAPONGEZA WANANCHI HANANG' KWA KUJITOLEA KATIKA MIRADI, AWAPA SALAMU ZA RAIS SAMIA. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewapongeza na kuwashukuru wananchi wa Kata ya Gitting Wilaya ya Hanang' kwa kuchangia milioni 42 kwa ajili ya ujenzi wa bweni katika shule ya sekondari Jorojick huku Serikali ikichangia shilingi milioni 70 kwa ajili ya kukamilisha mradi huo. Pongezi hizo amezitoa wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Jorojick katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika ofisi za kata kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi na kutoa salamu za Serikali.