У нас вы можете посмотреть бесплатно DOCUMENTARY (UTAMBULISHO MPYA) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu utazame simulizi ya kusisimua ya mchakato mzima wa kuandaa wimbo wetu mpya wa "Utambulisho Mpya" ambao tayari upo hewani! Katika documentary hii, tunakupeleka nyuma ya pazia kuona jinsi wazo lilivyoanza hadi kukamilika kwa kazi hii ya kipekee. Utasikia kutoka kwa: Mwalimu Mtunzi: Akielezea chimbuko la maneno, melodi, na ujumbe mkuu wa wimbo huu. Song Leader: Akielezea uzoefu wa uimbaji, hisia zilizowekwa, na changamoto zilizopelekea kupatikana kwa sauti bora mnazozisikia. CREDITS Song composer: Joshua Mlolanzila Song Leader: Leah Shileka Pianist: Richard Kayla Overall production : ATC MEDIA TEAM 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: / aictaborach. . Facebook: / aictaborachoir Threads: aictaborachoir Tiktok: / aictaborachoir Website: https://aicttaborachoir.or.tz/ 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬: Whatsapp: +255 733 922 306 Email: aictaborachoir@gmail.com ©️2026