У нас вы можете посмотреть бесплатно TRUMP AACHA KILIO IRAN, SARAFU YAKE YAPOROMOKA KULIKO KAWAIDA ... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tehran. Majanga ya ushuru uliowekwa na Rais Donald Trump wa Marekani yameendelea kuibuka maeneo mbalimbali duniani baada ya Sarafu ya Iran, maarufu kama ‘Rial’ kuporomoka hadi kiwango cha chini kabisa dhidi ya dola ya Marekani siku ya Jumamosi. Kuporomoka kwa sarafu hiyo kumeonekana zaidi leo wakati nchi hiyo iliporejea kazini baada ya likizo ndefu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo sasa Dola moja ya Marekani inauzwa kwa zaidi ya Rial milioni 1. Shirika la Habari la Associated Press limeripoti kuwa hofu inazidi kupanda kuwa huenda sarafu hiyo ikazidi kuporomoka zaidi ambapo kiwango cha ubadilishaji wa fedha Dola moja imebadilishwa kwa Rial milioni 1 wakati wa Mwaka Mpya wa Kiajemi (Nowruz).