У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANAFUNZI WA CHUO AJINYONGA HADI KUFA MTWARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanafunzi wa chuo cha uhasibu(TIA)mkoani mtwara aliyekuwa anaishi mtaa wa chikongola manispaa ya mtwara mikindani na kutambulika kwa jina moja la Regan amekutwa amefariki na mwili wake ukiwa ndani ya chumba chake majira ya saa sita mchana wakati chanzo cha tukio hilo bado hakijatambulika aarifa za kifo hicho zilianza kuenea majira ya saa sita mchana wakati majirani wakikusanyika kushuhutia tukio hilo lililojawa na simanzi, Kamanda wa polisi mkoani mtwara ACP NICODEUS KATEMBO amesema taarifa za tukio itatolewa baada ya kukamilika kwa uchunguzi wa daktari,kwa sasa mwili wa marehemu huyo umehifadhiwa hospitali ya mkoa ya Ligula.