У нас вы можете посмотреть бесплатно KAULI YA MGOMBEA URAIS SALUM MWALIM KWA WATUMISHI WANAOHUDUMU HIFADHI ZA TAIFA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MGOMBEA URAIS SALUM MWALIMU AAHIDI BARABARA YA LAMI SERENGETI – KARATU. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameahidi kujenga barabara ya lami itakayounganisha Wilaya ya Serengeti (Mkoa wa Mara) na Karatu (Mkoa wa Arusha), endapo atachaguliwa kuwa Rais. Akizungumza na wakazi wa Serengeti leo Sep 9 katika mkutano wa kampeni, Mwalim amesema barabara hiyo ni muhimu kwa ajili ya kurahisisha huduma kwa wananchi, kukuza biashara, na kuongeza utalii katika mikoa hiyo miwili inayobeba hifadhi maarufu duniani. Aidha, amewaomba wananchi kumpa ridhaa Oktoba 29,2025 ili aweze kutimiza dhamira hiyo pamoja na sera nyingine za maendeleo zilizo katika ilani ya CHAUMMA.