У нас вы можете посмотреть бесплатно Founders Safari S01ep01 | Founder of Nitume Sokoni | Gerald Magooge или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Fuatilia safari ya kibiashara katika kipindi chetu cha kwanza kikimwonyesha Gerald Magooge, mwanzilishi mwenye uthubutu wa Nitume Sokoni. Akiwa ameanzisha biashara 11 katika miaka 12, 8 kati yake zikiwa ni za kilimo, safari ya Gerald ni mchanganyiko wa mafanikio na changamoto. Sikiliza maelezo ya harakati zake za kibiashara, kutoka kupitia ugumu wa kuanzisha biashara nchini Tanzania hadi kukutana na vikwazo vya kibinafsi, ikiwa ni pamoja na kutokukubaliwa na familia na mpenzi wake kufunga ndoa na mtu mwingine! Endelea kubaki nasi kwa sababu tunaamini nyuma ya kila mwanzilishi, kuna Safari. Like, Subscribe, na Share baada ya kufurahia kipindi hiki. Kwa zaidi: https://linktr.ee/founderstanzania ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Embark on an entrepreneurial journey with our debut episode featuring Gerald Magooge, the resilient founder of Nitume Sokoni. Starting 11 businesses in 12 years, 8 of which are in agriculture, Gerald's journey is a compelling mix of triumphs and challenges. Dive into the details of his entrepreneurial ventures, from navigating the hard Tanzanian startup landscape to facing personal setbacks, including family disappointments and his girlfriend getting married! Stay tuned for more as we believe that behind any founder, there is a Safari. Like, Subscribe, and Share after enjoying this episode. For more: https://linktr.ee/founderstanzania