У нас вы можете посмотреть бесплатно RC SENDIGA AINGIA MTAANI KUTOA ELIMU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE AKUTANA NA MASWALI YA WAZEE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, akiwa na wataalamu wa Idara ya Afya ameanza rasmi ziara ya kutembelea kaya kwa kaya katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kutambulisha na kuhamasisha wananchi kujiunga na mpango mpya wa Bima ya Afya kwa Wote, unaolenga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Akizungumza na wananchi Sendiga amesema mpango huo ni utekelezaji wa dira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuhakikisha huduma za afya zinawafikia wananchi wote bila ubaguzi, ambapo Kupitia mpango huu, kaya italipia shilingi 150,000 kwa mwaka na bima hiyo itahudumia watu sita wa familia moja kwa mwaka mzima Mpango wa utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health ।nsurance Act, 2023) umeanza rasmi baada ya Wakuu wa Mikoa kote nchini kuanza kusimamia usajili wa kundi la kaya maskini. Kundi hili lenye jumla ya kaya 276,000 limechaguliwa kuwa la majaribio ya mfumo wa bima ya afya kwa wote, kabla ya makundi mengine kuanza kujiunga.