У нас вы можете посмотреть бесплатно Msimamo wa Serikali Soko la Mashine Tatu Iringa wawekwa Wazi, RC Kheri James Atoa Maagizo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametoa agizo la saa 24 kusafisha haraka eneo la soko lililoteketea kwa moto usiku wa Kuamkia Jumamosi Julai 12, 2025, huku akisisitiza mamlaka zote zinazohusika kufika eneo hilo kushughulikia usalama wa miundombinu kabla ya wafanyabiashara kurejea. Agizo hilo linahusisha kurekebishwa kwa huduma muhimu zilizoathirika kama vile umeme, maji, na vyoo ili kuhakikisha mazingira yanakuwa salama na safi kwa matumizi ya wananchi. RC Kheri James ametoa kauli hiyo Jumatatu ya Julai 14, 2025 alipotembelea soko hilo kwa lengo la kukagua utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa awali, ikiwemo kuondolewa kwa mabaki ya uchafu kama matunda yaliyooza, mbao, na mabati yaliyoungua. Kufuatia ajali ya Moto ulioteketeza Soko la Mashine Tatu lililopo Katikati ya Manispaa ya Iringa na kuwaathiri Wafanyabiashara 535, Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Benjamin Sitta, amesema Kwa Sasa Serikali ya Wilaya hiyo inafanya Usafi wa eneo lote lililoathirika na moto ikiwa ni Sehemu ya Utekelezaji wa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ili baada ya zoezi hilo mipango ya kurejesha shughuli za Kibiashara katika eneo hilo ziweze kufanyika kwa wakati. #FocusTVTanzaniaSubscribe (Focus TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus TV inakupa Maudhui bora kuhusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments. #FocusTVTanzania .................. Tufuatilie Zaidi kupitia: INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV Focus TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest. Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team Focus TV Tanzania