У нас вы можете посмотреть бесплатно Mafunzo ya Halmashauri za Vijiji na Upangaji wa Matumizi ya Ardhi ya Vijiji Katika Wilaya ya Chato или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mafunzo ya upangaji, utekelezaji na usimamizi wa mipango ya matumizi ya ardhi ya kijiji cha Kamanga yametolewa kwa wajumbe wa timu ya upangaji matumizi ya ardhi pamoja na wajumbe wa halmashauri ya kijiji ili waweze kupanga na kusimamia matumizi ya ardhi ya kijiji chao. Mafunzo haya yametolewa na wataalamu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kama sehemu ya utekelezaji wa mradi wa upangaji matumizi ya ardhi katika vijiji vinavyopitiwa na mradi wa bomba la mafuta kutoka Mutukula-Kagera hadi Chongoleani-Tanga. Jumla ya vijiji 10 kati ya vijiji 18 vilivyopo katika njia ya bomba la mafuta vimeandaliwa mipango ya matumizi ya ardhi katika kipindi cha Aprili na Juni 2019.