У нас вы можете посмотреть бесплатно Tofauti ya Inuka Fund na mifuko mingine (uwekezaji Tz) – Ammi Julian & Fortius Rutabingwa, Sept 2024 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Huu ni mjadala uliofanyika siku ya Ijumaa September 6, 2024 katika kipindi cha uchambuzi wa soko la uwekezaji wa hisa DSE Tanzania. Mjadala huu ulijikita kwenye kutoa taarifa juu ya tafsiri, umuhimu na mambo mengine muhimu kuhusu mfuko wa Inuka Money Market Fund ambao unasimamiwa na Orbit Securities. Mjadala ulifanywa na Ammi Julian na Fortius Rutabingwa siku moja baada ya uzinduzi wa mfuko huo, Alhamis September 5, 2024. Ili kuangalia kipindi kizima tafadhali tumia link hii: https://youtube.com/live/3DlQlAaWtmk?... ************************************** Kwa mawasiliano zaidi tumia taarifa hapa chini: +255 711 803 634 | +255 743 677 873 inuka@orbit.co.tz